Wednesday, September 23, 2009

FURSA MBALIMBALI ZILIZOPO DUNIANI.

Kuna fursa mbalimbali za kujipatia ajira duniani kuopitia mtandao wa internet.


Fuatilia safu hii uweze kuelimika na kuafanya kazi za kujiajiri mwenyewe,kuajiriwa na mwajiri wa nchi yeyote duniani ukiwa hapahapa nchini na kuweza kujipatia kipato.

Kwa wale wanaofahamu matumizi ya kompyuta haswa ya mtandao wa internet ni vyema wakajua kuwa badala ya kuingia kwenye mtandao na kuchat tu au kufanya vinginevyo waweza kutumia vyema muda na fedha kidogo kujinufaisha sana .

MIJADALA MASWALI NA MAJIBU KUHUSU SHERIA YA KAZI

MY BLOG VISITORS COUNTER